Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Simba wapiga Biriani la kuwakaribisha Primeiro De Agosto

Simba Biriani Mashabiki wa Simba wakila Biriani huku wakiendelea kutoa hamasa kuelekea mchezo wa Jumapili

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imeanza kufanya hamasa jijini Dar kwa ajili ya kuita mashabiki uwanja wa Mkapa Jumapili Oktoba 16 itakapovaana na Primeiro de Agosto ya Angola mechi ya kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika hamasa hiyo leo ikiwa Temeke wamegawa biriani kwa mashabiki wake.

Klabu ya Simba imeanza kufanya hamasa jijini Dar kwa ajili ya kuita mashabiki uwanja wa Mkapa Jumapili Oktoba 16 itakapovaana na Primeiro de Agosto ya Angola mechi ya kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika hamasa hiyo leo ikiwa Temeke wamegawa biriani kwa mashabiki wake. Mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa nchini Angola, Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live