Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Simba wameamua, wabakisha tiketi chache tu!

Mashabiki Simba Wameamua, Wabakisha Tiketi Chache Tu!.jpeg Mashabiki Simba wameamua, wabakisha tiketi chache tu!

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Simba wanaendelea kufanya kweli ambapo tayari wamekaribia kufunga zoezi la kununua tiketi zote elfu sitini.

Takwimu walizozitoa Simba SC kupitia ukurasa wao wa Instagram, tayari tiketi za Platinum pamoja na zile za Mzunguko. Tiketi zilizosalia ni katika eneo la VIP B, C na Machungwa.

VIP B imebaki asilimia 5, VIP C imebaki asilimia 4 huku Machungwa ikiwa imebaki asilimia 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live