Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Simba, Yanga wazichapa kavukavu - Video

Simba Yanga Mhsz Mashabiki Simba, Yanga wazichapa kavukavu - Video

Wed, 14 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Klabu za Simba na Yanga, wamezichapa hadharani punde baada ya kufika Visiwani Zanzibar baada ya kushindwana kwa maneno.

Mashabiki hao wamefika visiwani hapo kuelekea katika Tamasha la Kizimkazi Festival, na leo wana jambo kuelekea Tamasha hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live