Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Simba, Yanga wajenga Madarasa

Mashabiki Madarasa Madarasa yaliyojengwa kwa Msaada wa Mashabiki wa Simba na Yanga

Sat, 28 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Mpira wa Klabu za Simba SC na Yanga Katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga Wajitolea kujenga na kukamilisha Vyumba 4 vya Madara katika Shule ya Msingi Nyahanga.

Mashabiki hao walichangia kiasi cha Shilingi Milioni 9 na ukamilishaji wake umefanywa kwa kutumia mapato ya ndani ya Manispaa ya Kahama.

Vyumba hivyo vinne vya Madarasa vimefunguliwa leo Agosti 27 na Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live