Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Milan wamtupia Golikipa wa PSG fedha Bandia

Dollarumma Mashabiki Milan wamtupia Golikipa wa PSG fedha Bandia

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa AC Milan walimtupia noti bandia kipa wa klab ya PSG Donnarumma Kwenye mchezo wa Jana usiku kati ya AC Milan dhidi ya PSG utakaopigwa San Siro,

Chanzo: Mashabiki wanahisi kusalitiwa kipindi Donnarumma alipoondoka katika klabu kama mchezaji huru na kujiunga na PSG zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Pesa hizo zilikuwa na namba 71 iliyokuwa kwenye pesa hizo ikiashiria 'mtu asiye na maana yoyote' huku kukiwa na sura ya Donnaruma na jina la Dollaruma na Mercenario, kumaanisha mtu anayefanya chochote hata uhuni ilimradi tu apate pesa.

Mashabiki wa AC Milan walijua Donnaruma alifuata pesa katika klabu ya PSG.

Mchezo uliisha kwa Ac milan kushinda 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live