Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Everton waichangia Klabu

Everton Fans Photo 640x400 Mashabiki Everton waichangia Klabu

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Everton wamechanga Pesa zaidi ya pauni elfu 33 wakipanga kutumia fedha hizo kuandika mabango watakayoyabeba hadi uwanjani Goodison Park Jumapili watakapocheza na Manchester United, Ili kuelezea kutoridhishwa kwao na uamuzi wa Premier League wakuwanyofoa alama 10.

Mashabiki wa Everton wamechanga Pesa zaidi ya pauni elfu 33 wakipanga kutumia fedha hizo kuandika mabango watakayoyabeba hadi uwanjani Goodison Park Jumapili watakapocheza na Manchester United, Ili kuelezea kutoridhishwa kwao na uamuzi wa Premier League wakuwanyofoa alama 10. Everton ilipewa adhabu hiyo ijumaa iliyopita,wakipatikana na hatia ya utumizi mmbaya wa fedha,hatua ambayo haijapokelewa vyema na kikundi cha mashabiki cha "The 1878s" ambacho sasa kimewashawishi wenzao kuwekea shinikizo Premier League kuhusu adhabu waliyopewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live