Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Chelsea wanapomshusha thamani Enzo Fernandez

Enzo.jpeg Kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa mpira wana tabia ya kusahau mazuri kwa haraka na kusahau mabaya kwa haraka vile vile.

Mashabiki wa Chelsea wanakwambia timu inacheza vizuri sana bila Enzo ndio maana wanapata ushindi lakini huyu Enzo ndio alikuwa mchezaji ambaye anaonekana wa maana zaidi msimu uliopita kwenye kikosi chao.

Msimu huu mwanzoni na baadhi ya michezo amefanya vizuri sana, lakini hivi sasa wanakwambia Enzo ndio tatizo.

Lakini pengine wanasahau kwamba pengine kuna muda structure inayotumika uwanjani haimfanyi Enzo kunufaika nayo kutokana na approach ya baadhi ya games, na aina ya viungo wanaocheza nae.

Kuna kipindi Chelsea walikuwa na Kante, Jorginho na Kovacic. So ilikuwa kupata ubora wao lazima mmoja aanzie benchi, sio kwamba ni mbovu, ila ili kupata balance nzuri lazima iwe hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live