Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Chelsea wakerwa na Tangazo (+Video)

Chelsea Advert Mashabiki Chelsea wakerwa na Tangazo

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa ‘klabu’ ya Chelsea wachukizwa na kitendo cha ‘timu’ hiyo kuingia mkataba wa kuitangaza hoteli ya ‘Hilton Hotels’ baada ya kumtumia Mtangazaji kutoka nchini Uingereza Georgia Toffolo kufanya tangazo hilo kwa kutazama ‘mechi’ akiwa kitandani.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Toffolo ali-share video akiwa Uwanja wa ‘Stamford Bridge’ wakati wa ‘mechi’ ya Wanawake kati ya #Chelsea dhidi ya #Manchester United, kufuatiwa na tukio hilo wadau na mashabiki walichukiza na kitanda hicho kuwepo uwanjani.

Ambapo wali-komenti kupitia video hiyo wakieleza kuwa kitendo hicho sio sawa kwa watu masikini, hivyo basi kuweka kitanda uwanjani ni kuuaibisha mpira wa miguu.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live