Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki 250 kuwapa mzuka Simba dhidi ya Al Ahly Misri - VIDEO

Simba Wawaita Mashabiki Kwa Mkapa 'kumuua' Mwarabu.jpeg Mashabiki 250 kuwapa mzuka Simba dhidi ya Al Ahly Misri

Thu, 4 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wachezaji wa timu hiyo watapata nguvu ya mashabiki kwenye mchezo wa robo fainali ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly mchezo utakaopigwa kesho nchini Misri.

Ahmed ameeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umefanya utaratibu wa kuwapata mashabiki 250 ambao wanaamini watakuwa chachu ya ushindi siku ya kesho.

View this post on Instagram

A post shared by HABARILEO (@habarileo_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live