Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masau Bwire afunguka Simba, Yanga na Azam kumtaka

Masau Bwire JKT Tz.png Masau Bwire afunguka Simba, Yanga na Azam kumtaka

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa habari wa kikosi cha Jkt Tanzania Masao Bwile leo kwa mara ya kwanza amefunguka ukweli kwamba Simba waliwahi kumfata mara kadhaa ili akawe afisa habari wa klabu hiyo tangu wakati wa Aveva lakini akagoma

Lakini pia Yanga nao wakati huo Mkwasa akiwa katibu wa Yanga walihangaika sana lakini akachomoa achana na hao mapacha wa karia koo vile vile Azam nao wakati wa Saad kawemba waliwahi kumuhitaji Control Bwile napo pia akachomoa

Unadhani ni kwanini Masao Bwile amekuwa akigoma na kukwepa kabisa kwenda kuvisemea vilabu vya Simba , Yanga na Azam licha ya kumfata kwa Nyakati tofauti tofauti?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live