Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masaka Kids wakamua vibaya Mechi ya La liga

Masaka Kidsss Masaka Kids wakamua vibaya Mechi ya La liga

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la watoto wanaolelewa kwenye kituo cha yatima kutoka Uganda maarufu mitandaoni Masaka kids, usiku wa jana walipata bahati ya kipekee kutumbuiza kwenye mechi ya ligi kuu ya soka Uhispania, Barcelona dhidi ya Valencia, iliyochezwa Uwanjani Montjuic.

Kundi la watoto wanaolelewa kwenye kituo cha yatima kutoka Uganda maarufu mitandaoni Masaka kids, usiku wa jana walipata bahati ya kipekee kutumbuiza kwenye mechi ya ligi kuu ya soka Uhispania, Barcelona dhidi ya Valencia, iliyochezwa Uwanjani Montjuic. Kwenye mchezo huo ambao Barca walibuka na ushindi wa 4-2, watoto hao walisherehesha wakati wa mapumziko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live