Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marufuku kuingia Mkataba Binafsi na mshindani wa Mdhamini wa Ligi Kuu

Karim Boimanda.jpeg Afisa Habari Bodi ya Ligi, Karim Boimanda

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi imetoa marekebisho na maboresho ya kanuni toleo la 2023 ambapo hivi sasa ikiwa mchezo atapata dili zake binafsi na Benki nyingine basi hawaruhusiwi kutangaza kwa sababu ya mkataba wa (@nbc_tanzania na Ligi huku atakayekiuka akikabiliwa na kufungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja na mitatu.

Bodi ya Ligi imetoa marekebisho na maboresho ya kanuni toleo la 2023 ambapo hivi sasa ikiwa mchezo atapata dili zake binafsi na Benki nyingine basi hawaruhusiwi kutangaza kwa sababu ya mkataba wa (@nbc_tanzania na Ligi huku atakayekiuka akikabiliwa na kufungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja na mitatu. Kwa mujibu wa kanuni namba 16: 1:12 katika maboresho: “Hairuhusiwi kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa udhamini na mshindani wa kibiashara wa Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu, atakayekiuka atafungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja na mitatu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: