Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martinez avunja rekodi Argentina

Emiliano Martinez Nm.jpeg Emiliano Martinez

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa ‘timu’ ya taifa ya Argentina, Emiliano Martínez anayecheza kwenye ‘klabu’ ya Aston Villa ya England amevunja ‘rekodi’ baada ya kufikisha dakika 622 bila ya kuruhusu bao katika lango la ‘timu’ hiyo.

Mlinda mlango wa ‘timu’ ya taifa ya Argentina, Emiliano Martínez anayecheza kwenye ‘klabu’ ya Aston Villa ya England amevunja ‘rekodi’ baada ya kufikisha dakika 622 bila ya kuruhusu bao katika lango la ‘timu’ hiyo. Martínez amefikisha dakika hizo bila kutoa ‘goli’, na kuipita ‘rekodi’ ya awali iliyowekwa na Sergio Goycochea ya mwaka 1991. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live