Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martinez apiga mnada 'gloves' za Kombe la Dunia

Emiliano Martinez Nm.jpeg Emiliano Martinez

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: Nipashe

Golikipa wa Argentina, Emiliano Martinez amepiga mnada glovu zake alizovaa kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 kwa Euro Elfu 42, sawa milioni 104.9 kwa pesa za Tanzania na kuchangia pesa hizo kwa watoto wanaougua saratani.

Golikipa wa Argentina, Emiliano Martinez amepiga mnada glovu zake alizovaa kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 kwa Euro Elfu 42, sawa milioni 104.9 kwa pesa za Tanzania na kuchangia pesa hizo kwa watoto wanaougua saratani. Emiliano amesema kwake ni muhimu zaidi kumsaidia mtoto kuliko kuweka glavu hizo kama kumbukumbu kwenye sanduku nyumbani.

Chanzo: Nipashe