Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martinez Kutua Tottenham Hotspurs

Emiliano Martinez 1140x640 Emiliano Martinez

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tottenham bado inapambana kuipata huduma ya golikipa wa Aston Villa, Emiliano Martinez, 30, ili akawe mbadala wa golikipa wao wa kimataifa wa Ufaransa, Hugo Lloris, 36, ambaye anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

Tottenham bado inapambana kuipata huduma ya golikipa wa Aston Villa, Emiliano Martinez, 30, ili akawe mbadala wa golikipa wao wa kimataifa wa Ufaransa, Hugo Lloris, 36, ambaye anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Spurs imekuwa ikihangaika kumpata mbadala wa Hugo kwa muda mrefu na kwa sasa Martinez ndiye anayepewa nafasi kubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live