Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martial afikisha miaka mitatu pasipo kucheza Dakika 90

Martial Miaka Mitatu Martial afikisha miaka mitatu pasipo kucheza Dakika 90

Mon, 4 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufanyiwa mabadiliko kwenye mechi ya usiku wa jana, (Disemba 2) dhidi ya Newcastle United, Anthony Martial ana kuwa hajacheza kwa dakika 90 kamili, zaidi ya miaka mitatu katika Premier League.

Martial alimpisha Rasmus Højlund dakika ya 61, United ikiwa tayari nyuma kwa goli moja lililofungwa na Anthony Gordon dakika ya 55.

Kipigo cha goli 1-0 kwa Manchester United kinawafanya wapoteza mara tatu mfululizo dhidi ya Newcastle United katika mashindano yote kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1922.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live