Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Martial aaga Man United, kituo kinachofuata..?

Anthony Martial Fare Well Anthony Martial kuondoka Man Utd

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji Anthony Martial amethibitisha kuwa anaondoka Manchester United na amewaachia ujumbe mashabiki wa klabu hiyo kama ishara ya kuaga na kuanza maisha mapya kwa amani

Mshambuliaji Anthony Martial amethibitisha kuwa anaondoka Manchester United na amewaachia ujumbe mashabiki wa klabu hiyo kama ishara ya kuaga na kuanza maisha mapya kwa amani “Nashukuru kwa kila kitu mlichofanya juu yangu, nyimbo ,kunipa moyo na mapenzi yenu kwa Klabu hii ni kumbu kumbu itakayobaki kwenye moyo wangu milele”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live