Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marekani yakataa mpira kwenda mwezini

Nasa Moon Marekani yakataa mpira kwenda mwezini

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanasayansi Neil Armstrong ambaye amewahi kuufikia mwezi akitumia vyombo mbalimbali kupitia mission ya Apollo 11, alihitaji kuubeba mpira wa miguu na kwenda nao huko lakini shirika la anga la Marekani lilikataa ombi lake kwani hawakuamini kama mpira huo ni sehemu ya asili za Marekani.

Mwanasayansi Neil Armstrong ambaye amewahi kuufikia mwezi akitumia vyombo mbalimbali kupitia mission ya Apollo 11, alihitaji kuubeba mpira wa miguu na kwenda nao huko lakini shirika la anga la Marekani lilikataa ombi lake kwani hawakuamini kama mpira huo ni sehemu ya asili za Marekani. Soka nchini Marekani limeanza kushika kasi miaka ya karibuni tofauti na nchi nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live