Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marefa wa kike wa Tanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Refa 1.jpeg Marefa wa kike wa Tanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Fri, 28 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limewateua marefa wa kike wa Tanzania, Florentina Zabron, Janeth Balama, Helen Mduma na Tatu Malogo kuchezesha mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Wasichana U17 baina ya Djibouti na Burundi kati yaMachi 4 na 6 Jijini Bujumbura.

Tazama picha za waamuzi wote waliochaguliwa hapa chini;





Chanzo: www.tanzaniaweb.live