Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marcelo Bielsa kumrithi Lampard Everton

WhatsApp Image 2023 01 24 At 15.jpeg Marcelo Bielsa

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa Leeds United, Marcelo Bielsa yupo mstari wa mbele kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu ya Everton kuziba pengo la Frank Lampard aliyefungishwa virago siku ya Jumatatu.

Aliyekuwa kocha wa Leeds United, Marcelo Bielsa yupo mstari wa mbele kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu ya Everton kuziba pengo la Frank Lampard aliyefungishwa virago siku ya Jumatatu. Bielsa (67) raia wa Argentina ameripotiwa kuwa tayari kuchukua mikoba ya Lampard baada ya kutokuwa na kazi tangu Februari mwaka jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live