Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapinduzi Cup: Ni kivumbi leo

Yanga Yamchapa Mtu 5 0 Mapinduzi Cup: Ni kivumbi leo

Thu, 4 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Patashika ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi inaendela leo kwa michezo miwili.

Yanga iliyopo kundi C itakamilisha mechi za makundi itakapomenyana na KVZ kwenye uwanja wa New Amaan Complex.

Nazo Mlandege na Chipukizi za kundi A zitakiwasha katika mchezo utakaotangulia kwenye uwanja huo huo.

Katika michezo miwili ya michuano hiyo iliyofanyika Januari 3, Simba imeichapa Singida Fountain Gate mabao 2-0 wakati APR imeibuka mshindi dhidi ya JKU kwa mabao 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live