Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapinduzi Balama apewa "Thank You" Coastal Union

Mapinduzi Balama Kipenseli Kiungo Mapinduzi Balama

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Yanga na Mtibwa Sugar, Mapinduzi Balama "Kipenseli" ameachana rasmi na klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga.

Kiungo wa zamani wa Yanga na Mtibwa Sugar, Mapinduzi Balama "Kipenseli" ameachana rasmi na klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga. Balama amemaliza Mkataba wake na anatajwa kujiunga na Klabu ya Mashujaa FC yenye maskani yake Mkoani Kigoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live