Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapema tu TFF yapangua ratiba ya Yanga

Yanga Mwed Ngao Mapema tu TFF yapangua ratiba ya Yanga

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klbu ya Yanga SC ilipaswa kucheza mchezo wa kwanza wa NBC Premier League dhidi ya KMC katika Dimba la Azam Complex Chamazi keshokutwa Agosti 17, 2023.

Kutokana na ushiriki wa Yanga Sc katika mashindamo ya kimataifa, hivyo mchezo huo umesohezwa mbele na utachezwa Agosti 23, badala ya Agosti 17 kama ilivyopangwa hapo awali.

Hivyo KMC atacheza dhidi ya Namungo FC Katika Dimba la Ruangwa Lindi tarehe 19, Agosti wakiwasubiri Yanga SC kucheza mchezo wao wa Kimataifa dhidi ya ASAS FC ya Djibouti, Agosti 20, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: