Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapato ya mchezo wa Morocco vs Burkina Faso kusaidia wahanga wa Tetemeko

Morocco.png Mapato ya mchezo wa Morocco vs Burkina Faso kusaidia wahanga wa Tetemeko

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapato ya Mchezo wa jana kati ya Morocco na Burkina Faso yatakayopatikana yote yatatolewa kwa ajili ya waathirika wa Tetemeko la Ardhi lililoikumba taifa La Morocco wiki iliyopita.

Mapato ya Mchezo wa jana kati ya Morocco na Burkina Faso yatakayopatikana yote yatatolewa kwa ajili ya waathirika wa Tetemeko la Ardhi lililoikumba taifa La Morocco wiki iliyopita. Katika mchezo huo Morocco waliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililowekwa wavuni na Azzedine Ounahi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live