Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maofisa Habari wanaochekesha kulimwa rungu na TFF

Kamwe Ahmed Manara Ibwe Maofisa Habari wanaochekesha kulimwa rungu na TFF

Tue, 6 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari. “Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao 24|25 tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu,“ amesema Almas Kasongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live