Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manyama asakwa na matajiri wa Sudan

GPafqxDWwAEZLcv.jpeg Manyama asakwa na matajiri wa Sudan

Fri, 7 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal imefungua mazungumzo na Edward Manyama kuhusu kuhitaji saini yake.

Kocha Mkuu Florent Ibenge anavutiwa sana na mlinzi huyo ambaye alifanya Jitihada za kumsajili mwanzoni mwa msimu lakini Azam walilikataa dili hilo.

Singida Black Stars nao wapo katika harakati za kumfukuzia Manyama ili kuimarisha kikosi chao msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live