Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manungu yapigwa kufuli na Bodi ya Ligi

Mtibwaofficial 20211218 12 Uwanja wa Manungu, umefungiwa kwa mara nyingine kuchezwa mechi za Ligi Kuu

Sun, 19 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, imeufungia Uwanja wa Manungu Complex ambao ni Uwanja wa nyumbani unaotumika na timu ya Mtibwa Sugar.

Bodi imeagiza uwanja huo ufanyiwe marekebisho kisha ukaguliwe kabla ya kuruhusiwa kutumika.

Aidha Bodi imeiagiza klabu ya Mtibwa kutafuta Uwanja mwingine ambao utatumika kwa ajili ya michezo yao.

Tazama hapa chini Taarifa ya Bodi ya Ligi;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live