Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manuel Sapunga ajumuishwa timu ya Taifa

Manuel Sapunga Ad Manuel Sapunga

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa Polokwane City FC, Manuel Sapunga amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Equatorial Guinea.

Sapunga msimu huu amefanikiwa kutokuruhusu goli katika mechi 12 kati ya 21 alizocheza msimu huu.

Ronwen Williams pekee ndio amemzidi akiwa na cleansheet 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live