Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manuel Lanzini arudi Argentina

Manuel Lanzini West Ham United 1528454130 15889 Manuel Lanzini

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa klabu ya River Plate ya huko nchini Argentina Jorge Brito anathibitisha kuwa wamefikia makubaliano na mchezaji wao wa zamani aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Westham Manuel Lanzini ili arejee kunako klabu hiyo.

Lanzini aliisaidia West ham kutwaa taji la michuano ya Ulaya kwa mara ya kwanza tangu miaka 43 iliyopita.

"Tumefikia makubaliano na Lanzini saa chache zilizopita, Manuel atawasili Buenos Aires siku zijazo", aliiambia ESPN.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live