Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu awapiga dongo Yanga

Hii Sasa Sifa! Simba Waiomba Serikali Wapewe Na Uwanja Wa Uhuru Mangungu awapiga dongo Yanga

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amewapiga dogo wapinzani wao wa jadi Yanga SC kwa kuwambia kuwa wameiga wazo lao la Simba Day.

Mangungu ameyasema hayo leo Agosti Mosi, 2023 alipokuwa Buza jijini Dar kulipokuwa na shamrashamra za kuelekea Simba Day.

"Tukio hili la Simba Day wengine wameiga ingawa hawataki kukiri hilo. Wameondoa neno Day wameweka Wiki," alisema Mangungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live