Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu amchana Try Again, "Makundi lazima yawepo"

Murtaza Mangungu Mangungu

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba Sc anafunguka;

"Utaratibu uliopo ni kwamba pande mbili zinazohusika zitapendekeza jina la Mwenyekiti atapigiwa kura au atachaguliwa na Bodi kuwa Mwenyekiti huo ndio utaratibu, maelezo ya 'Try Again' ni tofauti na utaratibu uliokuwepo"

"Makundi lazima yawepo kwa sababu kwenye jamii yenye uelewa lazima kuwe na mitazamo tofauti, tutaunda bodi na tutarekebisha yote yaliyojitokeza kwasababi hiyo ni hali ya kawaida kutofautiana," amesema Mangungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live