Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Mo Dewji ni jasiri

Mangungu Mo Dewji Mo Dewji na Mangungu

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine,

“Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo memorandum tunayoizungumzia hapa ni yeye na moyo wake amechagua kufanya, ingekuwa mtu mwingine angesubiri hadi mchakato ukamilike. ”

“Sisi tunamchukulia kama mwanasimba jasiri aliyechagua kuisaidia Simba” – Mangungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live