Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mane afanyiwa vipimo Al Nassr, kutambulishwa muda wowote

Sadio Mane TO SA Sadio Mane

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sadio Mane amefanyiwa vipimo vya afya na klab ya AL Nassr na hivi karibuni anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu hiyo.

Sadio Mane amefanyiwa vipimo vya afya na klab ya AL Nassr na hivi karibuni anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu hiyo. Mane alikuwa ni mchezaji wa Bayern Munich lakini ameambiwa atafute timu kwa kuwa hayupo katika mipango ya Kocha Thomas Tuchel.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live