Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mane, Ronaldo wapokea kichapo cha pili mfululizo

Mane X Ronaldo Mastaa wa Al Nassr, Ronaldo na Sadio Mane

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia imepoteza mechi mbili mfululizo za ufunguzi wa Ligi Kuu Nchini humo kufuatia kipigo kingine cha 2-0 dhidi ya Al Taawon FC.

Mabo ya Al Tawoon FC yamefungwa na Tawamba 20'Bahusayn 90+6'.

Katika mchezo wa kwanza Al Nassr anayochezea Nyota Cristiano na Sadio Mane ilipoteza dhidi ya Al Ettifaq inayonolewa la Steven Gerrald chini ya Nahodha Jordan Henderson.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live