Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester United yavunja Mkataba na TeamViewer

Skysports Antony Manchester United 5997980 Manchester United yavunja Mkataba na TeamViewer

Fri, 16 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester United inatafuta mfadhili mpya wa mbele ya jezi yake baada ya kukubali kusitisha mkataba na kampuni ya Ujerumani ya TeamViewer.

Machester United iliingia Mkataba wa Kibiashara na Teamviewer wa miaka mitano mwezi Machi mwaka 2021.

Kwa sasa jina la TeamViewers litabaki kifuani mwa jezi za Man United mpaka pale mdhamini mpya atakapopatikana.

Katika taarifa ya klabu ilisomeka;

“Baada ya muda wa majadiliano ya pamoja na ya faragha katika miezi iliyopita, Manchester United na TeamViewer AG wamefikia makubaliano yenye manufaa kwa pande zote mbili ambapo Manchester United itakuwa na chaguo la kununua tena haki za udhamini wa mbele wa jezi ya klabu".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live