Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester United yamtangaza rasmi Ralf Rangnick kuwa Kocha wao

Now.png Kocha Mpya wa Man United, Ralf Rangnick

Mon, 29 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa Kocha wao wa muda akichukua nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer, alietimka klabuni hapo wiki chache zilizopita.

Manchester kwa sasa ipo chini ya mchezaji mwandamizi wa kikosi hicho Michael Carrick ambae ameshaiongoza katika michezo miwili akishinda mmoja na kutoa sare mmoja.

Rangnick ataiongoza United mpaka mwisho wa msimu, na atabaki kama mshauri klabuni hpo kwa angalau miaka miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live