Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester United warudi tena kwa De Jong

De Jong Frankoe.jpeg Kiungo wa Barcelona, Frankie De Jong

Wed, 1 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United imehusishwa kutaka saini ya Kiungo wa kati wa Barcelona na Uholanzi Frenkie de Jong, 25 msimu huu wa joto.

Klabu ya Manchester United imehusishwa kutaka saini ya Kiungo wa kati wa Barcelona na Uholanzi Frenkie de Jong, 25 msimu huu wa joto. Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekuwa akijaribu kumtaka mchezaji huyo tangu dirisha kubwa la usajili lililopita lakini Barcelona waliweka ngumu kumuachia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live