Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester United waandamwa na "Gundu" EPL

Man United Bruno Manchester United waandamwa na "Gundu" EPL

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imeshindwa kupata ushindi na hata kufunga bao hata moja katika EPL tangu ilipotwaa ubingwa wa Kombe la Carabao.

Imeshindwa kupata ushindi katika mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu kwa mara ya saba, na ya kwanza tangu Februari 2020. Imefungwa jumla ya mabao 9-0.

United walipokea kichapo cha mabao 7-0 kutoka kwa Liverpool, kisha ikatoa sare ya bila kufungana na Southampton na juzi Jumapili wakakubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Newcastle.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: