Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester City yazindua Sanamu la Aguero

Aguero Clebrated (600 X 696) Sanamu la Sergio Aguero

Fri, 13 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester City, wamezindua sanamu la Mshambuliaji wao wa zamani Sergio Agüero nje ya uwanja Etihad.

Sanamu hilo limezinduliwa katika kumbukumbu ya miaka 10 ya goli lake dhidi ya QPR ambalo liliwapa ubingwa msimu wa 2011-12.

Aguero alifunga bao hilo dakika ya 93:20 dhidi ya QPR katika mchezo ambao walipambana kileleni na Manchester United mpaka dakika ya mwisho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live