Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manchester City yapewa nafasi kumnasa Rice

Declan Rice West Ham Pre Season 2 Declan Rice

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City inaripotiwa kupewa nafasi kubwa ya kunasa saini ya kiungo mkabaji wa West Ham United, Declan Rice, licha ya kuwindwa na klabu kibao za Ligi Kuu England.

Manchester City inaripotiwa kupewa nafasi kubwa ya kunasa saini ya kiungo mkabaji wa West Ham United, Declan Rice, licha ya kuwindwa na klabu kibao za Ligi Kuu England. West Ham waliripotiwa kugomea Pauni 100 milioni kutoka Man United mwaka jana, hivyo Rice aliendelea kubaki kwenye kikosi hicho kwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live