Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara atua Makka kufanya ibada ya Umrah

Manara Makka.jpeg Haji Manara

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

C.E.O wa Manara TV, Haji Manara amezuru mji wa Makka kufanya ibada ya Umrah kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Umrah.

Haji Manara ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram kisha ameandika:

"Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Baada ya ziara ndefu kote ulimwenguni, hatimae nimefika katika nchi tukufu ya Hijaaz Na nishatia nia ( kuhirimia ) kule Twaaif ( Al Sayl ) tayari kwa Ibada ya Umra hapa Makkatal Mukarram ( Makka ) Dua zenu ili niweze kukamilisha ibada hii muhimu na kubwa na Insha'Allah ntawaombea na nyinyi ndugu zangu".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live