Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara atoa ya moyoni Chama kutambulishwa Yanga

Haji Manara Mazembe Manara atoa ya moyoni Chama kutambulishwa Yanga

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara ametoa ya moyoni baada ya Chama Clatous kutambulishwa Jangwani.

"Nilijua ipo siku ntafanya kazi tena na hiki kiumbe, nilijua na niliamini hivyo, kuna wakati alikubali hata kutofautiana na mabosi zake wa zamani kwa kunitetea mimi.

"Chama Babaaa,Chama Babaaaa, Chama Weee, Njoo Mwanangu, Anyau Anyau Anyau Chamaaaaa.

"Imagine Being Us Wananchi???????? Kama najiona hiyo siku, ombeni uhai Wanayanga,itakuwa kubwa mno na haijawahi kutokea before."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live