Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara apata mtoto mwingine

Manara Mtoto Wa Kiume Mke wa Haji Manara, Rubiynah

Wed, 15 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amefanikiwa kupata mtoto wa Kiume kutoka kwa mkewe Rubiynah aliekuwa mjamzito.

Akiandika kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, Manara jana Februari 14 aliandika;

"Alhamdulillah, Mashallah MashaAllah ! A BOY Mke wangu kipenzi amejifungua salama Mtoto wa kiume na Sasa ni rasmi nimeruzukiwa Mtoto wa Nne, Hali ya My Rubi na Mtoto ni salama salmin, Eeeh Mola wetu mwenye Enzi,tunakukabidhi ww Mtoto wetu kwa ulinzi wako ????"

Allahu Baarik.

Haji na Rushayna walifunga ndoa April 15 mwaka 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live