Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara ammwagia sifa lukuki Kibu Denis

Kibu Denis Prosper Manara ammwagia sifa lukuki Kibu Denis

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara ameibuka mtandaoni na kummwagia sifa lukuki mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis.

“Huyu Jamaa akipata maelekezo kidogo tu hakuna anaemsogelea nchini katika Washambuliaji local, ni vile tu anacheza Club ambayo haishindi Mataji makubwa na iliopoteza mwelekeo wake”

“Kibu akipata Team imara kisha akazungukwa na mafundi uwanjani ni hadithi tamu mno kumuona akicheza,ana offer vtu vingi ambavyo Strikers wetu hawana. Kibu Denga ni Mtu wa maana kabisa au Wananchi mnasemaje?” alisena Haji Manara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live