Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara afunguka mazito Chama kutua Yanga

Chama Yanga 003 Manara afunguka mazito Chama kutua Yanga

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ametoa ya moyoni baada ya Chama Clatous kutambulishwa Jangwani.

“Nilijua ipo siku nitafanya kazi tena na hiki kiumbe, nilijua na niliamini hivyo kuna wakati alikubali hata kutofautiana na mabosi zake wa zamani kwa kunitetea mimi.

“Chama Babaaa, Chama Babaaa, Chama Weee Njoo Mwanangu Anyau Anyau Anyau Chamaaa. “Imagine Being Us Wananchi? Kama najiona hiyo siku ombeni uhai Wanayanga, itakuwa kubwa mno na haijawahi kutokea before.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live