Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara afunguka kupigwa na mashabiki wa Yanga

Semaji, Haji Manara Haji Manara

Thu, 28 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema alipopewa taarifa kuwa anatakiwa kuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, aliogopa kwamba mashabiki wa timu hiyo wanaweza kumpiga.

Anasema sababu kubwa iliyomfanya aogope ni kutokana na jinsi alivyokuwa akiwachachafya mashabiki hao kipindi alipokuwa Simba.

Manara ameyasema hayo wakati akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa Yanga leo, April 28, 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live