Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara aapitisha mchango wa Prince Dube ili aondoke Azam FC

PRINCE DUBE MSH Manara aapitisha mchango wa Prince Dube ili aondoke Azam FC

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amepitisha orodha akiwashawishi baadhi ya wadau wamchangie mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kuvunja mkataba na klabu yake hiyo.

Petition hiyo ya Manara inakuja baada Dube kuandika barua kuomba kuondoka Azam Fc huku Azam wao wakidai kuwa bado ana mkataba na klabu hivyo iwapo anataka kuondoka basi alipe thamani ya mkataba wake kiasi cha dola laki tatu (sawa na zaidi ya Tsh milioni 700).

Mpango wa kumsaidia Dube kuvunja mkataba;

01: Haji Manara 10M

02: Hersi Saidi 10M

03: Peter Kibwengo 8M

04: Mzee Karigo 7M

05: Uncle Big Phil 10M

06: Omary kimosa 12M

07: Abed Mvuma 20M

08: Kipunje 3M

09: Kigosi 7M

10: Arafat Haji 9M

11: Angu Shadrack 6M

12: Hashim kijaluba 20M

13: Mayele Majini 2M

Wananchi Naomba na Sisi tumchangie Dube @mgadafiprince.73 kama alivyochangiwa Fei, Al Qiswaas Hakkun na Kama Tudini Tudani.

Twambie na wewe unachangia kiasi gani.

Nb: Huwezi jua Dube mara paaap kawa wa njano na kijani, Nani aijuae kesho?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live