Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Tunataka waamuzi watende haki

MANARA 35454657 1 Haji Manara

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Kesho ni ‘mechi’ ya hisia kubwa ni mechi yenye kuchukua akili za watanzania, sio ‘mechi’ ya matokeo tu bali ni ‘mechi’ inayosakwa heshma zaidi miongoni mwetu,wachezaji, ‘makocha’, viongozi na hasa mashabiki.

Tunajua raha ya wakubwa ni kuona derby pale Tanga lakini aina hii ya waamuzi hatutaki kuwaona, msituletee waamuzi wa aina hii, mwamuzi aliyetoka nyumbani kuja kufunga kibwebwe cha mbeleko ni marufuku kesho.

Referees wa kesho wawe Watu wanaotoka makwao kuja kutenda haki, asipendelewe mtu na asionewe yeyote, Bingwa halali apatikane uwanjani sio kwenye korido na viwambaza vya Tanga!!."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: