Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Simba wakipata hata sare Jumamosi wakachinje Ngamia 7

Haji Manara Kibabe Haji Manara

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati joto la Dabi likizidi kupanda kuelekea Aprili 20, Aliekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara amezungumza tambo za timu yake kuelekea mchezo huo;

Wakipata sare dhidi yetu wasichinje Mbuzi maana mnyama huyo ni dhaifu katika Kafara. Wakipata sare wakachinje Ngamia Saba. Tuna timu ya kuwafunga zaidi ya mabao 5 tuliyowafunga katika mechi ya kwanza “

View this post on Instagram

A post shared by Manara TV (@manaratv__)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: