Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Si mimi tu, hata mchezaji wao kavaa jezi ya Orlando

Manara Mkude Manara: Sisi mimi tu, hata mchezaji wao kavaa jezi ya Orlando

Thu, 28 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema sio yeye tu aliyevaa jezi ya Orlando Pirates, hadi Mchezaji wa Simba (aliyemuita fundi ) Jonas Mkude amevaa jezi hiyo.

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema sio yeye tu aliyevaa jezi ya Orlando Pirates, hadi Mchezaji wa Simba (aliyemuita fundi ) Jonas Mkude amevaa jezi hiyo. Siku ya jana Haji Manara amekutana na upinzani mkali baada ya kuvaa jezi hiyo kutoka kwa wachambuzi wa soka wakidai amefanya makosa kadhaa ikiwemo kuikosea heshima klabu yake ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live